Thursday 21 July 2016

NBA live facebook

Kutokana na ukuaji wa technologia,leo ligi ya kikapu ya marekani imesaini mkataba na kampuni ya facebook ili mpira wa kikapu uwe unaruka live..
Kutokana na jarida la usa today limesema ligi hiyo ya NBA itaruka kupitia NBAtv

Klopp amnasa winjn

Newcastle imekubali dau la pauni million 25 kumuachia midfielder wao geoginio wijnaldum kwenda liverpool

Chanzo cha sun football kimeripoti

Gotze arudi nyumbani

Mario gotze amerudi kwenye klabu ya mwanzo ya borussia dortmund baada ya miaka mitatu akiichezea bayern munich

Chanzo cha sunfootball kimeripot leo...

Hadithi ya suzani inaendelea sehemu ya 18 hiyo hapo

Hadithi ya suzani inaendelea kwenye sehemu ya 18

Wednesday 20 July 2016

Mata mechi moja kwenye tatu

Meneja wa united jose mourinho amemwabia mata kuwa ni lazima abaki united ila atakuws anacheza mechi moja tu kwenye mechi tatu za timu hiyo
Chanzo ni jarida la sun football

Winga wa schalke  leroy sune amefanikiwa kusaini mkataba na mancity kwa kitita cha pauni million 42 kwa,miaka tarkribani minne

Manchester united yafunja benki kwa kumnasa paul pogba kwa kitita cha pauni million 105

Manchester united imevunja rekodi kwa kuiambia juve kuwa itaipa pauni million 105 ili kupata paul pogba ...hii imetoka kwenye jarida la sun football