Thursday 21 July 2016

NBA live facebook

Kutokana na ukuaji wa technologia,leo ligi ya kikapu ya marekani imesaini mkataba na kampuni ya facebook ili mpira wa kikapu uwe unaruka live..
Kutokana na jarida la usa today limesema ligi hiyo ya NBA itaruka kupitia NBAtv

Klopp amnasa winjn

Newcastle imekubali dau la pauni million 25 kumuachia midfielder wao geoginio wijnaldum kwenda liverpool

Chanzo cha sun football kimeripoti

Gotze arudi nyumbani

Mario gotze amerudi kwenye klabu ya mwanzo ya borussia dortmund baada ya miaka mitatu akiichezea bayern munich

Chanzo cha sunfootball kimeripot leo...

Hadithi ya suzani inaendelea sehemu ya 18 hiyo hapo

Hadithi ya suzani inaendelea kwenye sehemu ya 18

Wednesday 20 July 2016

Mata mechi moja kwenye tatu

Meneja wa united jose mourinho amemwabia mata kuwa ni lazima abaki united ila atakuws anacheza mechi moja tu kwenye mechi tatu za timu hiyo
Chanzo ni jarida la sun football

Winga wa schalke  leroy sune amefanikiwa kusaini mkataba na mancity kwa kitita cha pauni million 42 kwa,miaka tarkribani minne

Manchester united yafunja benki kwa kumnasa paul pogba kwa kitita cha pauni million 105

Manchester united imevunja rekodi kwa kuiambia juve kuwa itaipa pauni million 105 ili kupata paul pogba ...hii imetoka kwenye jarida la sun football

Picha za siku ya leo

Leo nimekuwekea picha ambazo zitakufanya siku hii iende vizuri kwako..
Kila siku hizi picha zipo mpya usikose kuangalia pale unapotamani kucheka

Hadithi ya suzani hiyo hapo tayari inaendelelea kuanzia sehemu ya 12 hadi 17

Nenda uisome sasa

Monday 18 July 2016

Kweli umaarufu kazi,hii ndo niliyokutana nayo kwenye akaunti ya justin bieber.

Basi kama umaarufu ungekuwa ni hivi,watu wasingeona faida ya kuwa maarufu.

Supastaa wa music nchini marekani namzungumzia justini bieber leo nine kits kwenye akaunti yake kachafuliwa hivi...

Angalia watu hawa walivyokuwa wanatweet wanalia...

Baba akutaka niwe muigizaji,salman khani atoa kauli ya kustaajabisha...

Supastaa wa filamu za kiindi alietengeneza jina kwenye filamu yake ya sultani...salman khani amesema baba yake mzazi akupenda kamwe yeye awe muigizaji bali alipenda awe mcheza cricket maarufu india.
Akizungumza kwenye mkutano wa tennisia star huko india alisema...
"Baba yangu alinitaka mimi niwe mchezaji wa cricket maarufu india mpaka akanitafutia mwalimu wa kunifundisha pale nyumbani.
Ilikuwa inanifanya muda mwingine nachelewa shule kwa kuwa nilikuwa nafanya mazoezi ya kutosha sana"..
Salmani aliongezea kuwa kamwe alikuwa hakuwai kuvutiwa na mchezo huo ingawa baba yake alimulazamisha.....
Ila  kuupenda kuupendapokuwanilmkubwaa

Sunday 17 July 2016

Story ya suzani kuanzia sehem ya tisa hiyo hapo

Kwa wale wanaotafta mwanzo wa hii hadithi telemka chini ya hii blog......'.

Darubini kubwa kuliko zote duniani ya tengenezwa china.....

Baada ya china kuendeleza uvumbuzi wa technogia mpya......leo wamefungua rasmi kituo chao kipya cha darubini....
Wataalam wanasema  dishi ambalo limekwa umbali kilometa moja kutoka kwenye mji wa xinshua lina paneli zaidi ya 4450
Serikali ya china imegalimikia zaidi ya dola za kimarekani million 180
Ukubwa wa dishi  unaweza ukajaza chupa za wine za watu zaidi ya billion saba......

Sababu 10 zizomfanya lionel messi kuwa mchezaji bora duniani

Kutokana na jarida la teregraph,...mtu wenu leo ,keneddelly, nimekuwekea sababu kumi zinazomfanya leonel messi kuwa mchezaji bora duniani......
1:uwezo wa kukontrol mpira
Messi anauwezo wa kubaki na mpirA kwa muda mrefu kwasababu waga hagusi mpira kwa mara moja bali mara mbili au zaidi.......

2:balance na kontrol...
Messi mwenye urefu wa futi 5 na nusu, anabalanse ya kutosha pale anapogusa mpira,tofauti na cristano ronaldo ambaye ni mrefu kumzidi messi...

3:uwezo wa kucheza chenga....
Kutokana na messi kuwa na kimo kifupi jarida linasema messi anauwezo wa kukaa na mpira huku akipiga chenga kwa muda mrefu.

4:messi hanauchoyo (generosty)...
Messi ukimwangalia kwenye mechi zake utakuta ni mtu anaependa washambuliaji wenzake wafunge mabao....

5:mbio (speed)...
Kutokana na umbo lake,,messi ni mchezaji mwenye spidi sana duniani..hiki kinamfanya awe more valuable..

6:passing..
Jarida linasema kwamba messi sio mchoyo na anatoa pasi pale anapoona mwenzake anaweza akafunga...

7:utayari (awerness)...
Siku zote messi anakimbia ameangalia juu akimanisha kuwa akitokea mchezaji ananafasi basi apewe mpira afunge...ni tofauti na wachezaji wengine ambao huwa wanakimbia wameangalia chini..

8:nguvu (power)...
Messi ananguvu miguuni na mikononi kwa sababu ni mfupi tena amejaa....
9:stregth.....
Jarida linasema messi anauwezo wa kuwapita madefenda watano kwa wakati mmoja kwa sababu ya nguvu...

Sababu ya mwisho ni kwamba messi ananidhamu sana pale anapokuwa anaongea na watu wanaomzunguka

Ushemeji upo skide kamjibu manfongo

Baada ya msanii mkongwe manfongo kutoa ngoma inayokwenda kwa jina la hakunaga ushemeji tunakulaga..
Msanii mwenzake s kide amjibu kwa kusema ushemeji hupo.....ipate ngoma hiyo kwenye mkito.com
tembelea www.mkito.com

Mumarekani aliepata umaarufu china kwenye muvi

Kos read ni mumarekani wa kwanza kufanya vizuri kwenye muvi za kichina..
Wachina wakimuita coacoa amecheza muvi ya ipman 3.......ambayo imemtambulisha vizuri katika cript yake alioicheza.....coacoa anasema hivi aliitwa akacheze muvi hiyo ya bluethree martial art na staa wa muvi hlo...
Anasema alipewa pesa ya kutosha mitosha mpaka kuja kukubali..