Saturday 16 July 2016

Jinsi ya kuongeza mafollower instagram....

Najua utakuwa unajiuliza ni kwa namna gani unaweza ukaongeza watu wanaokufata kwenye ukurasa wa instagram..
Leo nimekuwekea njia takribani kumi za kuweza kukufanya uongeze watu wanaokufata kwenye mtandao wa instagram..
1: njia ambayo naanza nayo ni ile ya kuadd watu kwa wingi...
Hii ni njia rahisi ambayo itafanya akaunti yako ionekane kwenye kurasa nyingi zinzofunguliwa kwa siku .njia hii inasaidia sana watu ambao hawkujui ili waweze kuona ni kitu gani unajiusisha.......
2:kulike na kutag watu wenye mafollower wengi..
Hii ndo njia mimi iliyonifanya nifikishe thousands of followers kwa siku chache sana..nilikuwa nawatag na kulike vitu vya mastaa wakubwa kwahiyo wTu wakawa wanakutana na akaunti yangu kwa wingi...
3:kuposti vitu ambavyo vinaendana na hari ya maisha ya kwetu...
Akaunti nyingi ambazo zinang'aa kwenye instagram ,wamiliki wao wanapenda kuposti kwa wingi habari za mapenzi....maana mapenzi ndio yanayosumbua kwenye dunia ya leo..
4:njia ya nne nikutumia jina ambalo linaweza kykumbukwa na kukaririwa kwa urahisi..akaunti kama teja wa insta,mama wa insta,meza ya insta......
Tukutane tena kesho ili niweze kuendelea na mada yetu naitwa drcomputer.
NiFOLLOw INSTAGRAM
@meza_ya_insta

No comments:

Post a Comment