Sunday 17 July 2016

Sababu 10 zizomfanya lionel messi kuwa mchezaji bora duniani

Kutokana na jarida la teregraph,...mtu wenu leo ,keneddelly, nimekuwekea sababu kumi zinazomfanya leonel messi kuwa mchezaji bora duniani......
1:uwezo wa kukontrol mpira
Messi anauwezo wa kubaki na mpirA kwa muda mrefu kwasababu waga hagusi mpira kwa mara moja bali mara mbili au zaidi.......

2:balance na kontrol...
Messi mwenye urefu wa futi 5 na nusu, anabalanse ya kutosha pale anapogusa mpira,tofauti na cristano ronaldo ambaye ni mrefu kumzidi messi...

3:uwezo wa kucheza chenga....
Kutokana na messi kuwa na kimo kifupi jarida linasema messi anauwezo wa kukaa na mpira huku akipiga chenga kwa muda mrefu.

4:messi hanauchoyo (generosty)...
Messi ukimwangalia kwenye mechi zake utakuta ni mtu anaependa washambuliaji wenzake wafunge mabao....

5:mbio (speed)...
Kutokana na umbo lake,,messi ni mchezaji mwenye spidi sana duniani..hiki kinamfanya awe more valuable..

6:passing..
Jarida linasema kwamba messi sio mchoyo na anatoa pasi pale anapoona mwenzake anaweza akafunga...

7:utayari (awerness)...
Siku zote messi anakimbia ameangalia juu akimanisha kuwa akitokea mchezaji ananafasi basi apewe mpira afunge...ni tofauti na wachezaji wengine ambao huwa wanakimbia wameangalia chini..

8:nguvu (power)...
Messi ananguvu miguuni na mikononi kwa sababu ni mfupi tena amejaa....
9:stregth.....
Jarida linasema messi anauwezo wa kuwapita madefenda watano kwa wakati mmoja kwa sababu ya nguvu...

Sababu ya mwisho ni kwamba messi ananidhamu sana pale anapokuwa anaongea na watu wanaomzunguka

No comments:

Post a Comment